Leo ni B,day ya Chalii ya Jambo Squad “CHALII MTOTO WA BIBI”, kaamua kutoa zawadi hii
Hii
ni katika kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Chalii ya Jambo Squad Chalii
Mtoto wa Bibi, Grandmaster Records imeamua kumzawadia release ya ngoma
hii “Anang’ereng’eta” _ Slim Deezy & Jambo Squad ikiwa ni mkono wa
John B, isikilize au download hapa; https://mkito.com/song/anangerengeta/3500
No comments:
Post a Comment
paulmkale