Kaa Tayari;Ommy Dimpoz Kuachia Video Ya Tupogo Remix Kesho Tar-28

Ommy Dimpoz anatarajiwa kuachia video ya hit single yake ya mwaka jana ‘Tupogo’, lakini hii ni Remix ambayo imepigwa katika..> mtindo mwingine.

Jokate ndiye ‘mpenzi’ wa Ommy Dimpoz kwenye video hiyo iliyoongozwa na Adam Juma.

“Umeshawahi kuona Mahaba ya Mswahili kwenye Treni? Subiri kesho ujionee kwenye – TUPOGO REMIX out tomorrow”- Ommy Dimpoz

No comments:

Post a Comment

paulmkale