Kaa Tayari;Young Ray Kuja Na Ngoma Mpya Wakiwa Na Jux

Msanii chipukizi wa kizazi kipya Young Ray anakuja kuwashika mashabiki wa muziki wa kizazi kipya na ngoma yake iitwayo "Uzuri Wake" ambayo amemshirikisha Jux. Wimbo huo utatoka muda si mrefu.

No comments:

Post a Comment

paulmkale