Rick Ross_-(2-1)If They Knew,Hood Billionaire(Official Music Video)

Rick Ross ambaye wiki hii ametoa album yake mpya na ya saba ‘Hood Billionaire’, ameachia video mbili mpya za nyimbo kutoka kwenye album hiyo. Video hizo ni ‘If They Knew’ pamoja na ‘Hood Billionaire’.Ingia hapa kutazama video ya ‘Hood Billionaire’


No comments:

Post a Comment

paulmkale