Jaguar Kuja Bongo Kwa Ajili Ya Irene Uwoya

Kwenye Exclusive Inteview leo, Jaguar anasema anamkubali sana staa wa filamu kutoka Tanzania Irene Uwoya na kwamba...> toka waonge kwenye simu amekuwa akijipanga ili aje bongo kumuona. Jaguar pia amesema amealikwa kwenda nyumbani kwa wazazi wa Irene December mwaka huu Ili kuonana na wazazi wake kwa sababu ambayo bado hajaweka wazi.

No comments:

Post a Comment

paulmkale