Video ikionyesha Rais Kikwete akitoka Hospitali baada ya kupatiwa matibabu.

omwonyesha RaisJKPicha nyingi zimeanza kuenea mitandaoni tangu juzi zikimuonyesha Rais Kikwete akitoka Hospitali baada ya kupatiwa matibabu ya upasuaji wa Tezi Dume.

Leo nimekuwekea video hii ambayo  inayomwonyesha Rais akiwa anatembea kutoka Hospitali ya Johns Hopkins, Maryland Marekani alikokuwa anapatiwa matibabu hayo.

No comments:

Post a Comment

paulmkale