Wema na Penny waweka tofauti zao pembeni baada ya kupatanishwa
Muigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu na mtangazaji Penny Muingila
wamemaliza tofauti zao zilizodumu kwa muda sasa (chanzo kikiwa ni mapenzi
na Diamond) baada ya kupatanishwa na wanaemuita dada yao "*Junaitha Pemba*"
siku ya jana.
Upatanisho wa wawili hao umefanyika siku ya jana pale ambapo Junaitha
alikuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa katika moja ya hoteli za
kifahari jijini
.
Penny. Junaitha na Wema Sepetu
its more about music industry and social issues in and out of bongo land
No comments:
Post a Comment
paulmkale