Diamond ashinda tuzo nyingine Nigeria ‘The Future Awards Africa’
Diamond Platnumz ameongeza idadi ya tuzo za kimataifa alizopata mwaka
huu 2014 baada ya kushinda tuzo nyingine ya ‘The Future Awards Africa’
(TFAA)zilizotolewa huko Lagos, Nigeria Dec.7
Kupitia Instagram mwimbaji huyo wa single mpya ‘Ntampata wapi’ ameshare picha ya tuzo na kuandika:
“Thanks God, we have Cheated another one on The Future Awards Africa in Lagos Nigeria… #SameDay #SameNight Thank you Allah! “
Kama inavyoonekana kwenye picha, tuzo hiyo imeandikwa Nasibu Abdul
“Diamond” Juma, Winner: The Future Awards Prize in Entertainment 2014.
Kwenye kipengele hicho Diamond alikuwa akishindana na Panshak ‘Ice
Prince’ Zamani (Nigeria) na Michael Kwesi ‘Sarkodie’ Owusu (Ghana).
Burudani ni kipengele kimoja wapo katika tuzo hizo za vijana (TFAA). Vipengele vingine vilikuwa ni Kilimo, Elimu, Teknolojia nk.
“The finalists were said to have been selected from the pool of
outstanding individuals across various disciplines and nominated from
all over Africa for this season of the awards – and have been assessed
through a four-month process supervised by the Central Working
Committee, Board of Judges and Independent Audit Committee.”-
vanguardngr.com
No comments:
Post a Comment
paulmkale