TAZAMA PICHA ZAIDI............ |
Diamond akiwapa burudani mashabiki wake.
Shabiki akicheza wimbo wa Mdogo Mdogo.
Shabiki akijumuika na Diamond kwenye jukwaa.
Balozi akimshukuru
Diamond kwa kuwezesha kunogesha usiku wa Uhuru wa Tanzania na pia
aliwashukuru wadhamini wa sherehe hiyo ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania
Bara.
Prezidaa
wa WCB, Diamond Platnumz akiwa pamoja na wacheza show wake Roma Tonsa
na Moses Iyobo wakitoa burudani katika kunogesha sherehe ya miaka 53 ya
Uhuru wa Tanzania Bara iliyofanyika Sheraton Hotel ya Silver Spring,
Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na mashabiki wake kutoka kila
pembe ya Marekani huku mashabiki wengine wakitokea Tanzania. Picha zote na Vijimabo Blog
No comments:
Post a Comment
paulmkale