Baraka Da Prince - Siachani Nawe[NEW AUDIO]@paulmkale

Barakah Da Prince Ameachia singo mpya hii ni baada ya ile ya kwanza ya Jichunge akiwa na Tetemesha Production,singo inaitwa Siachani nawe.Imetengenezwa na watayarishaji watatu wa muziki ambao ni Nusder/Lollypop na Kid Boy kwenye studio ya Tetemesha Records.Isikilize hapa http://www.hulkshare.com/tetemesharec/barakah-da-prince-siachani-nawe

No comments:

Post a Comment

paulmkale