Mipango ya kundi la Navy Kenzo mwaka 2015

Kundi la Navy Kenzo linaloundwa na Nahreel & Aika mwaka 2015 wapo katika maandalizi ya album yao mpya iitwayo Niroge.

  Kwanza tuna album yetu inayotwa Niroge tunamaliza soon itakuwa mitaani na vile vile tutatoa single ambayo itayoitwa Niroge, kwa upande wangu kazi nyingi zinakuja na, sisi kama Navy Kenzo tumeshafanya collabo na Navio wa Uganfa ambayo itakuwa kwenye albam pia tumefanya collabo na Weusi, pia tulikuwa tunataka kufanya collabo na Tiwa Savage lakini  mtu ambaye ana tu represent ndio yuko kwenye katika mazunguko naye

No comments:

Post a Comment

paulmkale