Damian Soul ft Joh Makini – Baraka[NEW AUDIO]@paulmkale

Baada ya kumshirikisha kwenye ‘Ni Penz’, Damian Soul ameongeza nguvu ya Joh Makini kwenye ngoma yake mpya ‘Baraka’. Ngoma hiyo imetayarishwa na Pancho Latino na Hermy B kutoka studio za B’Hits.“Mungu Baba amekua mwema sana Na mwaminifu mnoo ktk mwaka 2014….na sasa #BARAKA #BLESSINGS 1/1/2015 ma brand new track itakua iikana ulimwenguni kote,” amesema Damian. Isikilize hapo chini.

No comments:

Post a Comment

paulmkale