Diamond athibitisha kuwa Zari ana ujauzito wake!

Hivi karibuni kumekua na tetesi kibao zinazo muhusu Chibu a.k.a Diamond Platinumz kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwana dada 'Zari The boss lady' wa Uganda,wawili hao hawakuficha hisia zao za malavi davi kwa watu huku wakioneka sehemu tofauti tofauti,Platinumz ameamua kuthibitisha kwenye social network Kupitia mtandao wa instagram Diamond alipost picha anayo onyesha picha ya ultrasound yenye kuonyesha kiumbe tumboni na kuandika

                                          "i cant wait to have you on my hand" 
picha hii ina ashiria kwamba bwana Chibu Da Ngote mda wowote anaweza kuitwa baba na mwana dada Zari ndo alie beba uja uzito huo.

No comments:

Post a Comment

paulmkale