Diamond Platinumz Kuwashilikisha Wizkid Na Timaya Kwenye Mdogo Mdogo Rimex(VIDEO)
Huenda Diamond Platnumz akafikiria kufanya remix ya ‘Mdogo Mdogo’ baada ya kushauriwa na mtangazaji maarufu wa kituo cha runinga cha Soundcity cha nchini Nigeria, VJ Adams. Mtangazaji huyo anayeendesha kipindi cha Top 10 za Afrika Mashariki alikuwa akichat na Diamond na kumuuliza maana ya wimbo huo na kama ana mpango wa kufanya remix. Subscribe:
http://bit.ly/subscribetoscity
http://Twitter.com/SoundcityTV
http://Instagram.com/SoundcityAfrica
http://Facebook.com/SoundcityAfrica
No comments:
Post a Comment
paulmkale
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
paulmkale