Good news!! Haya ndio mabadiliko aliyoyaahidi Producer Lamar kwenye muziki mwaka 2015
Producer Lamar baada ya kuanzisha style ya Refix ili kuzipa ngoma za kibongo mzuka zaidi wa kuchezeka na kuleta ladha nyingine masikioni, kwa mwaka 2015 atakuja kitofauti ambapo ataanza kumpatia msanii mdundo (beat) na kurekodi kama Original Song.
Mmiliki huyo wa studio ya Fishcrab alisema; “Well
sasa hivi tunaanza kufanya sio Refix tena tunarekodi Original song
lakini inakuwa kwenye mdundo ule ule kwa hiyo nitakuwa nagawa mdundo
(beat) kwa artist halafu wanafanya wimbo kutokana na mdundo wangu na sio
kuchukua acapella zao na kuzi refix pia kutakuwa na events nafanya na
dj mwenyewe kwenye Clubs, Beach events“– Lamar.
Nitakuwa
nafanya nyingi sana… soon tu nitaanza, sasa hivi nakamilisha sponsors
nategemea support nyingi kutoka kwa mashabiki na deals ambazo nimeanza
kupata ni kama hizo ku-dj kwenye events na pia tukianza kufanya na
Original Song tutafanya na music video tunashoot kabisa“– Lamar.
No comments:
Post a Comment
paulmkale