Ile single mpya ya Chege na Mh Temba waliyomshirikisha Dj Maphorisa kutoka tarehe hii
Good news ninayokusogezea sasa hivi ni hii ya wakali wa kundi la TMK Wanaume Chege na Mh Temba kuhusu ile single yao mpya waliyomshirikisha Dj Maphorisa kutokea Afrika Kusini.
Chege kupitia Instagram ameshare tarehe ya kuachia rasmi single hiyo na kuandika
‘Kesho ijumaa ya tar/09/January/2015 ni siku tutayotambulisha ngoma
yetu mpya inaitwa KAUNYAAKAAA feat DJ maphorisa,producer wa ngoma hii
kutoka South Africa tunategemea sana support yako mdau……..tomorrow
Friday the 9th of January is the day we are releasing our new song
called KAUNYAKA ft dj maphorisa,the producer of the song from South
Africa your support will be’— @chegechigunda
No comments:
Post a Comment
paulmkale