Yamoto Band wamalimalizia kushoot ‘Nitakupwelepweta’
Yamoto Band wako kazini!
Mwaka 2014 ni kama ulikuwa mwaka wao, tumezisikia kazi nzuri zilizopendwa kutoka kwao kwa kipindi cha mwaka mzima.
2015 wameanza kwa kurekodi video ya wimbo wao, kazi inafanywa Dar es Salaam na director Adam Juma.
No comments:
Post a Comment
paulmkale