Kaa Tayari;Avril kuja na Collabo Mpya aliyomshilikisha Ommy Dimpoz
Nikimuona ndio single ya mwisho kutoka kwa Avril iliyotoka 2014 na
kufanya vizuri kwenye radio na tv nje na ndani ya Kenya. Kupitia
instagram yake Avril ametufahamisha kuwa kazi mpya aliyofanya na Ommy
Dimpoz inakuja Soon.
No comments:
Post a Comment
paulmkale