Mwigizaji Wastara Azungumzia Mahusiano Yake Na Bondi.
Kwenye friday nite live ya eatv, mwigizaji Wastara amezungumzia
mahusiano yake na mwigizaji maarufu wa filamu Tanzania “Bondi” nakusema
“Nikiwa karibu na mwanaume yeyote sasa
watu huzusha maneno ila mimi na Bondi tunafanya kazi pamoja tu, ni
manager wangu na husimamia kazi zangu, siwezi kufanya kila kitu mwenyewe”
Wastara yuko mbioni kuanza kufanya filamu mpya na kuanzia Januari 5 2014, atakuwa kambini.
No comments:
Post a Comment
paulmkale