R Kelly - Happy Birthday(Official Music Video)

R Kelly anakuletea video yenye mambo mengi ya ujana. Staa huyu wa R&B anaigia kwenye chumba kilicho jaa wanawake na kutojua kitu gani kilitokea usiku uliopita, video inarudi nyuma kuanzia mwanzo wa stori, Bonyeza Play kuitazama.

No comments:

Post a Comment

paulmkale