Video ya Adam Mchomvu"Tiririka"Kuzinduliwa J`Pili hii

Tunakutana Club Billz Jumapili hii January 25 kumsuport mtu wetu Adam Mchomvu ambaye anazindua video yake mpya.list ya wasanii ni ndefu ambao wataperfoam kuna Fid Q,Joh Makini,Mr. Blue,Nikki wa pili,Ben Pol,Young D,Shilole,Barakah Da Prince,Jay Moe,Belle Nine na wasanii wengi wakali.

No comments:

Post a Comment

paulmkale