Sio Joti pekee mwenye style mpya ya Nywele, mcheki Chris Brown.
Jana tulikuletea story kuhusu mtindo mpya wa nyewele wa Joti ambao
uko tofauti kabisa na nywele zake zilivyowahi kuwa hapo nyuma .
Joti si star pekee aliyeanza mwaka 2015 akiwa na style mpya ya nywele
, mkali wa miondoko ya R&B Chris Brown naye ameamua kuja na style
ya tofauti ya nywele ambayo hajawahi kuwa nayo.
Style Mpya ya Nywele ya Chris Brown inaonekana hivi .
Chris Breezy ameamua kusokota rasta ndogo ndogo na kuachana na ile
style yake iliyozoeleka ya kunyia nyewele fupi ya Lowcut ambayo kila
mmoja ameizoea .
Hapo awali Brown aliwahi kuwa na style ya kuweka rangi ya dhahabu au
blonde style ambayo ilimfanya aonekane tofauti na mwanzoni wakati nywele
zake zilipokuwa fupi na nyeusi.
Awali Chris Brown alikuwa anapaka nywele zake rangi kama hivi .
Kabla ya kuwa anapaka rangi nywele zake zilikuwa hivi .
Mwanzoni wakati anatoka Chris Brown alikuwa na nywele za chini ‘Lowcut’ .
No comments:
Post a Comment
paulmkale