Soma Alichokiandika Msanii AliKiba Juu ya Watoto Wake.
"Nawapenda sana watoto wangu! Kingine
ambacho kinabeba na kita endelea kubeba uzito kwenye maisha yangu ni
familia yangu na hasa watoto wangu. Wananipa FURAHA sana.
Inshaallah
Mwenyezi Mungu awalinde siku zote, Amin
Una lipi la kumwambia Kiba hapo?
No comments:
Post a Comment
paulmkale