Picha;Diamond Platinumz apewa $40,000 amuache Zari


Mapenzi ya Diamond Na Zari yameanaza kuingia vikwazo kutoka kwa watu wenye nguvu

Hii imekuja baada ya Zari muda wote kuonekana kuzunguka na Diamond katika Show zake huku akiwaacha watoto wake na baba yao South Africa.Je wewe Mdau Unamshaurije? Achukue na  kuachana na Zari ama Apotezee?

No comments:

Post a Comment

paulmkale