Wizkid - Ojuelegba(Official Music Video)

Kwa wale mashabiki wa Star kutoka Nigeria, Wizkid, amekuwa mwanamuziki wa kwanza kutoka nchini humo kuachia ngoma mpya kwa mwaka 2015, wimbo unaitwa Ojuelegba, inatoka kwenye album yake mpya inayoitwa ‘Ayo‘.

Wimbo huu ni wa tano kuuachia toka kwenye album hiyo, umefanywa na Legendury Beatz huku Video ikiongozwa na mkali Clarence Peters, dakika zako tatu kuitazama.


No comments:

Post a Comment

paulmkale