Y-Tony ft Barnaba - Mama (Official Music Video)

Msanii wa bongo fleva anaekuja kwa kasi katika soko la muziki wa bongo,mwenye hit song ya masebene,ameachia video yake mpya aliyo mshirikisha Barnaba nyimbo inaitwa Mama Utengenezwaji wa video hii ulianza mwaka jana mwishoni na kuiachia wiki hii ikiwa imetengenezwa na director Hanscana.Tazama hapa

No comments:

Post a Comment

paulmkale