Habari nyingine nzuri kwa Diamond Platnumz,Kamwambie ya hit upya Nigeria

Wakati kijana nassib Abdul akiendelea kutanua soko lake la kimuziki,nchi mbali mbali zimekua zikimfatilia kwa kujua info zake nyingi na kwa kina,Baada ya ku tamba sana East Africa,Diamond amekua akitafuta channels za nchini Nigeria.Sasa good news ni kwamba baada ya jina lake kusikika sana nchini humo na baadhi ya blogs nyingi za humo kumfatilia,wamekuja kui baini nyimbo ya Diamond - Kamwambie na kui post kwenye blog zao na kuitambulisha kama nyimbo yake mpya kitu ambacho kimezidi kuinyanyua tena nyimbo hiyo

Nyimbo ya kamwambie ni ya mda mrefu sana lakini imefufuka tena upya baada ya ku postiwa na blog za Nigeria

Hivi ni baadhi ya blogs za Nigeria zilizouweka wimbo huo na jinsi zilivyoutambulisha:

Jaguda: Fast rising Tanzania superstar singer Diamond Platinumz shares new single to kick off the year 2015. He titles this Kamwambie. Enjoy

Naijabeatzone.com: This song was long released, but until now it got to our notice. We decided to pull it through as one of our throwback for this week after pulling through “Twerk It” by Project pat featuring Ty Dolla $ign, Wiz Khalifa and Wale.

This one on our throwback list for the week is from the Bongo Flava Singer and Tanzanian Hitmaker, Diamond Platnumz. He titled this one “Kamwambie.” The visual for this track has already been shot and released back in November 2014. The video was directed by Adam Juma while Bob Junior produced the song.

sirkenayo.com: Tanzania superstar singer Diamond Platinumz is out with a brand new single he title Kamwambie. A great song, download and share your thoughts.

36ng.com: This 2013 release by Tanzanian star Diamond Platnumz is currently making buzz on Naija Kamwambie.

http://gidipoint.com: Tanzania superstar singer Diamond Platinumz is out with a brand new single he title Kamwambie. A great song, download and share your thoughts.

Blog zingine zilizouweka ni pamoja na:

http://tooxclusive.com/

http://9jabaze.com/

http://uncova.com/

naijabridge.com

http://talkmuzik.com/

http://suruleretv.com/

www.mp3naija

http://tayotv.net/

http://naijaexclusive.net/

http://www.naijafreshout.com/

http://www.nigeriatell.com/

No comments:

Post a Comment

paulmkale