Kaa Tayari;Izzo B kuja na ngoma mpya"KIDAWA"Aliyomshilikisha Shaa


Rapper kutoka Green City Mbeya, Izzo Bizness, anatarajia kuachia ngoma yake ya kwanza kwa mwaka huu. Izzo amesema ngoma hiyo iitwayo ‘Kidawa itawagusa wengi na pia kubadili mahusiano mengi ya kimapenzi. Akiongea na E-News ya EATV, Izzo alisema: Hii inakuwa rekodi ya kwanza kwangu kusimamiwa chorus na nyota wa kike ambaye ni Shaa.Ungana nami kupata video kidawa ya Izzo B wakiwa na mwadada Shaa, inayotarajiwa kuachiwa hivi karibuni@paulmkale

No comments:

Post a Comment

paulmkale