New Video : Jaguar - Huu Mwaka (Official Music Video)
Jaguar ametoa kazi mpya kwa mwaka 2015, ni video ya wimbo wake ‘Huu Mwaka’
iliyoongozwa na Godfather. Wimbo unazungumzia mtu masikini ambaye ameweka
malengo ya kupata maisha mazuri mwaka huu. kwenye video hiyo Jaguar
ameigiza kama mtu masikini anayeishi kijijini,na baadaye anaamua kwenda
mjini kutafuta kazi za ndani kwa tajiri wa kizungu.Tazama hapo chini
No comments:
Post a Comment
paulmkale