Rich Mavoko kuchaguliwa kuwa Balozi wa Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira WWF

Jana msanii Rich Mavoko aliweka picha kwenye ukurasa wake wa Instagram ikimuonyesha akisign dili la kuwa Balozi wa Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira WWF, Rich amesema amechaguliwa kuwa Balozi wa Shirika hilo nafasi ambayo ameipata baada ya kuonekana akiwa na chui kwenye video ya wimboPacha Wangu’.

Rich Mavocco akisign mkataba huo

No comments:

Post a Comment

paulmkale