Wawili hawa walishelekea Valentine’s Day kwa kishindo Africa Mashariki(Picha)

Ulisherehekea vipi Valentine’s Day? Well, Diamond Platnumz na msanii wa Kenya, Akothee waliisheherekea in a big way. Diamond, Zari, Wasafi and beach life Diamond Platnumz aliitumia siku hiyo muhimu kuwa karibu na mpenzi wake Zari The Bosslady kwa kumpeleka visiwani Zanzibar kwa mara ya kwanza. Huko alijumuika na timu nzima ya Wasafi na kutumia kupunga upepo sheedaah







No comments:

Post a Comment

paulmkale