Jose Chameleone kuingia kwenye Coce Studio Africa Mwaka huu

Msimu mpya wa Coce Studio Africa maandalizi yameshaanza rasmi,Vyombo vya habari vimedai kuwa Dr Jose anaweza kuwa ni mmoja wa washiliki kutoka nchini Uganda.Chameleone ataungana na masta mbalimbali kutoka afrika katika show hiyo ikiwa na msimu wa tatu.Tanzania mwaka jana walioshiliki ni Vanessa Mdee,Diamond Platinumz,Joh Makini,Shaa.Inasemekana mwaka huu Ali Kiba nae atakua ni mmoja ya  watakaoingia kwenye show hiyo.

No comments:

Post a Comment

paulmkale