Kaa Tayari; Bell 9 kuja na hii"SHAURIYAO"ijuma hii


Muimbaji kutoka mji kasoro bahari Morogoro Bell 9anatarajia kudondosha mzigo mpya ukwendao kwa jina la "SHAURI YAO"Bell 9 amesema ngoma hii itakuwa hewan rasmi ijumaa hii ya Tar-27 March 2015.Ngoma hiyo imefanywa na Prod Rush Don pale Kiri Records.Kuhusu mipango ya video Bell amesema inategemea ngoma itapokelewa vipi,Lakini alisema upo uwezekano wa kufanya video kwenye wimbo mwingine maana ninanyimbo nyingi alisema Bell 9.

No comments:

Post a Comment

paulmkale