Diamond na Zari wamefunga ndoa ya kimya kimya.


Tuna jibu tofauti na wengi wanavyodhani! Kwa imani ya watu wengi, huenda kuanzia Ijumaa ya leo, Zari ni Mrs Naseeb rasmi! Apparenty wawili hao wamefunga ndoa kimya kimya ama kuchumbiana – ofcourse kwa mujibu wa picha aliyopost Diamond kwenye Instagram usiku huu. “Wakati Mwingine Usiri Unabaraka zaidi…. Alhamdulillahemoji (Sometimes Privacy has more Blessings… Thank you so Much God,” ameandika Diamond kwenye insgram yake.

No comments:

Post a Comment

paulmkale