Kaa Tayari; Dayna kuja na hii"Nitulize"akiwa na Nay.

Dayna nyange anatarajia kudondosha mzigo mpya aliomshilikisha mkali wa Akadumba Nay wa Mitego.Kwa sasa mtarajia kumsikia Nay katika collabo nyingi za wasani wa kike,Kupitia instagram yake amepost picha na kuandia hivi:Ni moja kati ya collabo ambayo itafanya vizuri sana,Na nimeamua kufanya collabo na wasani wa kike kwa asiilimia 90% na 1 hii ni mwanaume alisema Nay.






:

No comments:

Post a Comment

paulmkale