Calvo Mistari's Album "Mwanaume Ni Effort" Now Available on ITunes, Google Play & Wabeeh.com
“Wewe ni zaidi ya pesa ,
Sikulinganishi na chochote…”
Mpendwa aki kuapia matamu kama haya, mtu hujipata amepagawa…
Haya ndiyo mapaya Calvo Mistari pamoja na Hussein Machozi, wamewatungia wapendwa wao katika nyimbo yao mpya:
DATISHA
“Kwa mashabiki wetu hodari, ma fans wetu wa nguvu, kwote Afrika mashariki ambao hawana mfano; kwa
kutuvumilia, kwa kuendelea kutupa morali, kwa kusimama nasi imara bila kusita tunawashukuru sana.
Kweli mume tu-Datisha”
Credits:
Title: Datisha
Artist: Calvo Mistari featuting Hussein Machozi
Production: Produced by - Dillie ;
Mixed by - Dillie at Grand Empire Studios
Video: Produced by TeamMistari
Director: Edu G
Editor: Arnold Korir
Gfx: John Oyamo

No comments:
Post a Comment
paulmkale