Diamond Platinmz amedhibitisha kuwa ngoma yake aliyofanya na Mr Flavour imekamilika.
Diamond Platnumz kafanya wimbo na Mr Flavour wa Nigeria,Meneja wake kaongea Haya.
Baada ya kufanya wimbo na P Square, msanii Diamond Platnumz ameweka
wazi kuwa video yake aliyofanya na Mr Flavour wa Nigeria imekamilika na
imeshapelekwa kwenye kiyuo cha televion cha Kimataifa BET.
No comments:
Post a Comment
paulmkale