Wimbo na video mpya ya Diamond ft. Mr. Flavour wa Nigeria imekuwa na 
mapokezi makubwa hata kwa mastaa wakubwa wa Afrika, ambao wamempongeza 
kwa wingi kupitia mitandao ya kijamii.
Miongoni mwa mastaa hao ni pamoja na member wa kundi la Uhuru la 
Afrika Kusini ambaye pia ni producer, Dj Maphorisa ambaye amemuomba 
Diamond afanya nao Remix ya ngoma hiyo. 
Dj Maphorisa ambaye ameshatengeneza hits nyingi za wasanii wengi wa 
Afrika wakiwemo Mafikizolo, Davido, Wizkid na Watanzania kama Linah, 
Madee,  Chege na Temba, amepost comment aliyojibiwa na Diamond baada ya 
kucomment kwenye post yake ya Instagram na kuandika kuwa Diamond 
amekubali kufanya naye remix ya wimbo huo.Kupitia mitandao yao walipost hivi-
 




No comments:
Post a Comment
paulmkale