Asilimia
Kubwa ya mastaa Wa bongo wamekuwa wakionekana wakijivinjari katika
mitaa mbali mbali wakiwa katika magari ya kifahari. Lakini ukichunguza
utagundua kuwa wengi Wa wasanii hao siyo wamiliki halali Wa magari hayo.
Baadhi ya mastaa wanaosukuma ndinga za bei Kali apa bongo ni.
1: DIAMOND PLATNUM
Mwanamuziki
anayedaiwa kuongoza kwa kuwa na gari la bei mbaya zaidi nchini ni
Diamond Platnums ambaye kwa sasa anamiliki BMW X6 ambalo linauzwa kwa
thamani ya dola 62,850 za marekani karibu shillingi million 150 za
kibongo.
2: LADY JAYDEE
Anayefuata
ni mwanadada lady jaydee anayemiliki magari mawili ya kifahari ikiwemo
Nissan Murrano alilonunua kwa thamani ya shilingi mil 60 miaka kadhaa
iliyopita na Range rover E lenye thamani ya dola za kimarekani 60,000
sawa ni shilingi mil 100 .
3: AY
Nafasi ya tatu imeshikwa na rapa mkongwe Ambwene yesaya anayemiliki Vogue sports lenye thamani ya sh92 miliion.
4: MASANJA MKANDAMIZAJI
Huyu anamiliki gari aina ya Land cruiser lenye thamani ya shillingi mil. 75
5: MRISHO MPOTO
Namba
tano inamilikiwa na mtaalamu Wa mashairi nchini, mrisho mpoto
anayemiliki Toyota Prado new model yenye thamani ya shilling mil 65.
6: JACKLINE WOLPER
Kwa upande wake muigizaji jackline wolper anamiliki land cruiser Prado lenye thamani ya shillingi mil 65.
7: WEMA SEPETU
No comments:
Post a Comment
paulmkale