Juzi
Roper alipost picha ya Diamond Platnumz akiwa amevaa nguo zenye mfanano
na designs zake na kumchana staa huyo kuwa ameiba ubunifu wake kupitia
yule Diamond aliyemuita kama ‘designer’ wake ambaye kazi yake hasa ni
‘stylist’.
“I
usually don’t blast people who make or wear fakes of my designs but
this person went way too far when they used my logo! @diamondplatnumz is
wearing fake #Roperrope shirt made by a person with bad character and a
strong lack or originality! This is not ok! If you steal a design
please reframe from using the Designers Logo because it’s illegal
www.shoproperrope.com,” aliandika kwenye Instagram.
Post
hiyo ambayo hata hivyo tayari imefutwa ilisababisha mjadala mkubwa na
wengi iliwafanya wamfahamu Roper ambaye nguo zake zimekuwa zikionekana
kwenye video nyingi za August Alsina, Future na Chris Brown.
Wapo
waliomshutumu Diamond na kudai kuwa ameumbuka lakini wengi walimtetea
na kwa kusema yeye ni mvaaji tu wa nguo hizo na hana kosa hata kama
alivaa nguo feki.
Mimi ni mmoja watu niliokuwa na mtazamo tofauti. Hii nipost niliyoweika Instagram kutoa ushauri wangu:
“Hili
suala mimi nalionea katika muktadha chanya zaidi. Designer
anayewavalisha August Alsina, Future, Meek Mill, Draya na wengine
kamlalamikia Diamond kuvaa nguo feki zinazoiga brand yake. Naamini
Diamond hana kosa kama lipo labda ni kumuita ‘stylist’ wake ‘designer’
na hivyo kuhisi Diamond anavaa nguo zake feki zilizotengenezwa na
designer wa Diamond ambaye basically kazi yake ni kumchagulia bosi wake
nguo za kuvaa. Binafsi mimi leo ndo nimemjua roperrope na nina uhakika
wengi pia wamemjua leo thanks to Diamond. That means roper kapata
exposure kubwa Tanzania na zaidi ya hapo. Diamond na roper wanaweza
kufanya kitu pamoja. Hakuna shaka kuwa Diamond ni fan wa design zake na
anaweza kumudu gharama za kupata customised outfits kutoka kwake na
huenda akawa brand ambassador wake Mkubwa Afrika. Wanasema everything
happens for a reason and I think this is not just a coincidence but
something that was planned by a higher force (God). @diamondplatnumz
make the most of this encounter and I bet you gonna be one of the best
dressed African entertainers.”
Roper
aliweka post ya pili Inayo onekana hapo juu kusisitiza kile
alichokisema awali na kudai kuwa hakumuuzia Diamond nguo hizo. Hapo
ndipo watu wengi waliifahamu vyema drama hiyo kiasi cha kuanza kuhisi
kuwa designer huyo anatafuta umaarufu.
Roper alipost picha nyingine ya Diamond na kuandika: Bless Up emoji�� I
just got news #Roperrope just went International emoji God is
everywhere #YoungGod x #ICantLose #ShippingOverseas #ThanksEastAfrica
#GodFlow @DiamondPlatnumz hit me up next time.”
Devontae
Roper, ni designer wa Los Angeles, California, Marekani ambaye ametokea
kujipatia umaarufu kwa nguo zake zinazovaliwa na mastaa wa muziki
nchini humo wakiwemo August Alsina, YG, Chris Brown, Future na wengine.
Brand yake inajulikana kwa jina la RoperRope.
No comments:
Post a Comment
paulmkale