Rapa Nicki Minaj ametoa video tatu kwa mpiga wiki hii ikiwa “Feeling Myself” na BeyoncĂ© , “Hey Mama”
na David Guetta na hii video yake mpya aliyofanya nchini Japan kutoka
kwenye album ya Pink Print “The Night Is Still Young,”ambayo ameitoa
kupitia TIDAL.
Kuona Video Bonyeza Hapa
No comments:
Post a Comment
paulmkale