JEMBE FM ni Moja ya kituo cha Radio
kilichoanzishwa ndani ya jiji la mwanza kinachopatikana kwa masafa ya
93.7 ambayo ofisi yake ipo ndani ya jengo la PPF PLAZA na Jumamosi ya leo ndio itazinduliwa rasmi na kuanza vipindi vyake .Pia kutakuwa na show ambayo Inajulikana kama JEMBE FESTIVAL
Itakayoanza saa 6 mchana kwa Kiingilio cha Tsh 5000 mpaka Kuchee
itasindikizwa na wasanii kibao kutoka mwanza na nje ya mwanza list ya
wasanii watakaokuwepo leo kwenye stage ya JEMBE FESTIVAL ni
1.Diamond Platinumz
2.Baraka Da prince
3.Young Dee
4.Yamoto Band
5.H. Baba
6.Izzo Buzness
7.Chegge
8.Mesen Selecta
9.Mr. Blue
10.Dogo Janja
11.Juma Nature
12.Temba
13.Stamina
15.Jimmy Chansa
16 Madee
17.Godzilla
18.Mo Music
19
No comments:
Post a Comment
paulmkale