Jokate na Alikiba wazidi kuuweka hadharani uhusiano wao, mashabiki waupa tick
Ujumbe ulioamsha team kiba 04 June 2015 ni wa Jokate kwa anayeaminika kuwa
mpenzi wake mpya Ali Kiba uliosema ‘All The Best Chèri’ ikiwa ni ishara ya
kumtakia siku njema kwenye siku yake anayofanya video nchini Afrika Kusini.
Ujumbe huu uliambatana na hii picha.
No comments:
Post a Comment
paulmkale