Nay wa Mitego na Diamond Platnumz wana mpango wa kuachia album yao ya pamoja
Hivi
karibuni, Nay alisema tayari yupo kwenye mazungumzo kuhusu mpango wa kufanya
album hiyo.
“Tumekuwa na mazungumzo
nadhani tukifikia mwisho, tutakuwa na album ya pamoja mimi na Diamond. Kitu
ambacho kipo tayari kwa sasa ni ujio wa tour yetu ya Mapenzi Pesa. Kwahiyo
mashabiki wakae tayari kwa vitu vikubwa.”
No comments:
Post a Comment
paulmkale