Video mpya ya Mkubwa Na Wanawe(Yamoto Band) kuongozwa na GodFather wa Afrika Kusini.Diamond kaigaramia kila kitu.

Muongozaji wa video za muziki wa Afrika Kusini, Godfather ataongoza video ya wimbo mpya wa kundi la Yamond Band ‘Cheza Kimadoido’ na Diamond ndiye atakayeigharamikia. Meneja wa kundi hilo, Said Fella, amesema Yamoto Band watasafiri Jumatatu kuelekea nchini Afrika Kusini kushoot video hiyo. “Wiki ijayo tunatarajia kufanya video mpya ya Yamoto Band na Godfather atakuwa director.Tuatashoot video hiyo Jumatatu,Jumanne na Jumatano maana bado tunashughuli nyingi.

No comments:

Post a Comment

paulmkale