Kwenye siku yake ya kuzaliwa msanii Ay amepokea salamu nyingi kutoka
kwa watu maarufu Afrika na nje. Miongoni mwa watu hao alikuwa msanii
Diamond Platnumz aliyeandika baadhi ya mambo aliyofanikisha kwenye
muziki wake kupitia Ay.
Hii no post ya maneno ya Diamond Platnumz.
” Misingi
na Daraja Imara la kimataifa ulio tujengea na unayozidi kutujengea ndio
leo inatusaidia vijana wako nasi kuweza kupenyeza na kutangaza kazi
zetu kimataifa…Pengine watu Hawajui kuwa wewe ndio Uliye niwezeshea
kufanikisha Collabo langu na Davido, Kuni Unga na Godfather na vingi
ambavyo naamini ndio Mwanzo wa safari yangu ya Kimataifa… Nakuheshim
sana Brother, na daima nitahakikisha sikuangushi…Happy birthday Bro“
No comments:
Post a Comment
paulmkale