Hemedy kuachia video yake mpya "IMEBAKI STORY"wiki ijayo tar July 30 2015

Video hiyo imefanyika hapa hapa Tz katika maeneo mbali mbali ikiwo Morogoro,Manyara,Arusha na Dar es Salaam.Video hiyo imegarimiwa milioni 15 na imeongozwa na Kwetu Studio.
Vanessa Mdee na Nisher wampongeza Hemedy kwa uthubutu anaofanya msani huyo.Hii ni post ya Dir-Nisher,
Kaa tayari kupokea ngoma hiyo....

No comments:

Post a Comment

paulmkale