Diamond Karibia anakuja na Video mpya ambayo hajasema ni lini inatoka.
Katika Mtandao wa Instagram Diamond Platnumz amesema Video hii ana uhakika watu wataipenda. Diamond Platnumz ameandika:
"Africa!!! I swear You Gonna Love this Video of Mine!!! (Niamini mimi, utaipenda hii Video...)"
No comments:
Post a Comment
paulmkale