New Video: Iyanya - Applaudise (Official Video)

Baada ya kudondosha video ya Nakupenda alioshirikiana na Bongo Superstaa Diamond Platnumz,Msanii maarufu kutoka Nigeria Iyanya leo hii amerudi na kichupa kipya.Wimbo unaitwa  Applaudise na hapa chini nimekusogezea video yake. Bonyeza play kuitazama.

No comments:

Post a Comment

paulmkale