Ramadhani Masanja Banza Stone afariki dunia mchana huu..kaka wa marehemu Hamiss Masanja amethibitisha kutokea kwa kifo hicho.....

Staa wa Muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ amefariki dunia mchana huu baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kaka wa marehemu aitwaye Hamis amethibisha msiba huo.
Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, Banza alikuwa anasumbuliwa na fangasi waliokuwa wanamshambulia kichwani (ubongo) na shingoni.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN

No comments:

Post a Comment

paulmkale